Jimbo Katoliki la Morogoro Askofu

 

Uongozi wa Jimbo

Askofu wa Jimbo

 

 

-         Jimbo la Morogoro lipo chini ya uangalizi wa Mhasham Telesphor Mkude.

-         Askofu Telesphor Mkude amezaliwa Novemba 30, 1945 katika kijiji cha Pinde, Parokia ya Mgeta, Jimbo la Morogoro. Alipewa daraja la Upadri tarehe 16 Julai 1972. Aliteuliwa kuwa Askofu wa Jimbo la Tanga tarehe 28 Januari 1988, na tarehe  akawekwa wakfu kuwa Askofu wa tanga tarehe 26 Aprili 1988. Aliteuliwa kuwa Askofu wa Jimbo la Morogoro tarehe 19 Aprili 1993, an akasimikwa  tarehe 13 Juni 1993.

Makazi:

Uaskofuni, Kilakala

S.L.P. 640 Morogoro, Tanzania

Simu: +255 (0) 23 260 3340

           +255 (0) 23 4828

Fax     +255 (0) 23 3341

E-mail: mkude@africaonline.co.tz